ASSAs

BURNA BOY ASHINDA TUZO ZA BET NCHINI MAREKANI

319
0
Share:

Mwanamuziki Damini Ebunoluwa Ogulu Burna Boy kutoka Nchini Nigeria ameshinda Tuzo ya Best International Act katika Tuzo za Muziki za BET Awards 2021 zinazotolewa Usiku huu nchini Marekani.

Burnaboy alikuwa akichuana na Diamond Platnumz , Wiz Kid, Ayana Kamura Emicida, Headie One, Young Tand Bugsey na Youssou Phamusik

(Visited 62 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us