ASSAs

RAIS MSTAAFU KIKWETE AWAASA VIONGOZI KUENDESHA KLABU KWA UWAZI NA UWAJIBIKAJI

174
0
Share:

Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amewaambia Viongozi wa Klabu ya Yanga kuendesha klabu hiyo kwa Uwazi na Uwajibikaji

Amewataka wasitumie Klabu kuwa kama MKUKUTA wao kwa maana ya kuiba na kuboresha maisha yao huku akisema uwazi na uwajibikaji utapunguza wizi na udokozi wa Mali za Klabu

(Visited 30 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us