ASSAs

TUNDA NA WHOZU WAPATA MTOTO WA KIKE

331
0
Share:

Kwenye kiwanda cha burudani usiku wa kuamkia leo tumezipokea good news kutoka kwa Bongo Fleva Artist ambapo Whozun a Mpenzi wake Tunda kubarikiwa mtoto wa kike.

Kupitia account ya Snapchat ya rafiki wa Whozu ambaye ni Billnass ameshare video clip inayomuonyesha Whozu akipambana kuingia Hospital usiku mnene jambo ambalo inaonyesha ni kinyume na taratibu za Hospitalini hapo ikiwa Whozu aliambatana na zawadi kwa familia yake hiyo mpya.Pia Tunda kupitia ukurasa wake wa instagram amethibitisha kwa kuandika ujumbe huu;

“Asante Mungu nimepata mtoto wa kike!..asanteni kwa salamu zenu!..mimi na mtoto tuko salama tunawapenda sana”

(Visited 73 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us