ASSAs

KANISA LA TB JOSHUA NCHINI NIGERIA LAWAKA MOTO

840
0
Share:

Wakati mazishi ya TB Joshua yakiendelea hapa jijini Lagos Nigeria moto mkubwa uliwaka ukitokea kwenye moja ya stoo katika kanisa hilo usiku wa kuamkia leo na kuanza kuunguza vitu huku waombolezaji wakikimbia kuokoa maisha yao.

Viongozi wa kanisa hilo wamesema chanzo cha moto huo ni shoti ya umeme iliyotokea katika stoo hiyo.

(Visited 315 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us