ASSAs

ZARI AACHANA NA MPENZI WAKE

781
0
Share:

Unaweza kusema mambo bado yanamwendea kombo  Zari the Boss lady , baada ya kuripotiwa kuachana na aliyekuwa mpenzi wake ‘Dark Stallion’ ikiwa wamedumu kwa kipindi kisichopungua miezi 5 tu.

Zari amefuta picha zao kwenye ukurasa wake wa Instagram na kueleza kuwa ameumizwa na kuvunjika kwa mahusiano yao licha ya kuwa hayakumjenga kimaisha.

“I miss him, but I had to let him go. If it doesn’t build me I won’t keep it”.

The Boss lady na Mnigeria huyo waliweka wazi mahusiano yao mwezi Februari 14 mwaka huu ambayo huwa ni siku ya wapendanao.

(Visited 181 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us