ASSAs

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA MASHINDANO YA MBIO ZA MARATHON

342
0
Share:

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimvalisha nishani  Nd,Panuel Mkumbo kutoka Nchini Kenya akiwa mshindi wa kwanza Wanaume katika mashindano ya Kimataifa  ya Riadha (Zanzibar International Marathon)  ya kilomita 21 aliyetumia Saa 1:04:48 yaliyofanyika leo  katika  Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 18/07/2021.

Wanariadha wakichuana katika mashindano ya Kimataifa  ya Riadha (Zanzibar International Marathon)  ya kilomita 05 yaliyoanzia viwanja vya Ngomekongwe  Mji mkongwe leo na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 18/07/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,Mama Marium Mwinyi  na Makamo wa Kwanza wa Rais Mhe.Othman Masoud Othman (katikati) wamejumuika na wanamishezo mbali mbali  katika  mashindano ya Kimataifa  ya Riadha (Zanzibar International Marathon)  ya kilomita 05  yaliyoanzia  leo katika Viwanja vya Ngomekongwe,Mji Mkongwe na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar  .[Picha na Ikulu] 18/07/2021.

(Visited 54 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us