ASSAs

KASEKENYA KUANZA ZIARA YAKE MKOANI MBEYA

235
0
Share:

Naibu Waziri wa Ujenzi na uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya,  akutana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, mara baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya ukaguzi wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na wizara yake leo tarehe Agosti 11, 2021.

(Visited 31 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us