ASSAs

BUNGE LAMKAANGA JERRY SILAA

69
0
Share:

Kamati ya Haki,Maadili na Madarak ya Bunge imetoa azimio kuhusu shauri la mbunge wa ukonga Jerry Silaa asimamishwe kuhudhuria mikutano miwili mfululizo ya bunge katika tuhuma za kudharau mhimili huo ,pia aondolewe kwenye uwakilishi wa Tanzania katika Bunge la Afrika [PAP]

Maamuzi hayo yamefikiwa baada ya kamati hiyo kusikiliza shauri hilo na bunge kupitisha azimio hilo leo huko Bungeni jijini Dodoma

(Visited 23 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us