ASSAs

USAJILI KITAIFA

151
0
Share:

Wakati dirisha la usajili tanzania likielekea ukingoni leo vilabu vimekua vigombania saini za wachezaji ili kuhakikisha zinafanya vizuri msimu mpya unao tarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi september 2021

Namungo imekamilisha usajili wa David Molinga akitokea Zesco ya nchini Zambia ikumbukwe Molinga aliwahi kuitimika timu Yanga msimu wa 2019/2020 alifunga magoli 12,Namungo inayonolewa na mwalimu Hemed Morocco wamejinasibu kutataka msimu ujao kulingana na usajili waliofanya

KMC nao wamekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa Yanga Faruk Shikalo aliyupiwa virango mwishoni mwa msimu huu kmc ambao wamejinasibu kupigania nafasi yakuiwakilisha Tanzania kimataifa msimu ujao

Polisi Tanzania,wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Adam Adam akitokea timu ya Alwahd ya huko nchi Libya mchezaji huyu amewahi kukipiga katika klabu ya JKT TANZANIA

Costal Union wao wamemtambulisha mwalimu mpya raia wa Marekani MELIS MEDO kuchukua nafasi ya mwalimu JUMA MGUNDA aliyebadilishiwa majukumu na sasa ni mkurungenzi wa ufundi wa klabu hiyo mwalimu huyu amewahi kuzifundisha Wazito fc ya kenya na Gwambina fc ya Tanzania

(Visited 87 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us