ASSAs

BILIONI 63 ZAKUSANYWA TOZO MIAMALA

80
0
Share:

”Tangu tozo mpya zimeanza tumekusanya zaidi ya Shilingi Bilioni 63 kwa muda tu wa mwezi mmoja na nusu” – Dk. @mwigulunchemba Waziri wa Fedha.

”Kwa mwezi mmoja na nusu wa makusanyo ya tozo mpya, tumejenga vituo vya afya katika tarafa 70 ambazo hazikuwa navyo kwenye tarafa 217 tangu kupata uhuru na hivi vina jengo la upasuaji, maabara. Mh. Rais anakwenda kuokoa maisha ya wajazito wengi sana” – Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha.

(Visited 26 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us