ASSAs

CHEMICAL MIMI BADO BIKRA

242
0
Share:

Moja ya Marapa wakali Kwenye game ya BongoFleva #Chemical ‘amedai kuwa yeye bado ni mwanamke ambaye hajakutana na mwanaume yeyote ‘Bikra’ na pia jimbo lake lipo wazi yaani yupo ‘single kwa sasa’.

Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni na kituo kimoja cha Tv Chemical amekaririwa akisema anafurahi kuwa single ila mume wake ajaye ‘future hubby’ ata-enjoy sana kwa sababu anajua kupenda, muelewa na hatampangia vigezo vya mahari

(Visited 151 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us