ASSAs

UZINDUZI RASMI TAREHE 4/09/2021

95
0
Share:

“Jambo moja naweza kusema ni jezi nzuri sana. Tutakuwa na jezi za aina tofauti sana kulinganisha na timu zingine za ndani. 

Baada ya uzinduzi jezi zitakuwepo kwenye maduka ya Vunja Bei na tutauza masaa 24,” amesema Fred Ngajiro, Mkurugenzi wa kampuni ya Vunja Bei.

 “Uzinduzi wa jezi tutafanya jumamosi Septemba 4, 2021 saa 1:00 usiku jijini Dar es Salaam. Litakuwa tukio ambalo litahusisha wadau mbalimbali, pia tutakuwa live kupitia Azam TV.”- CEO wa Vunja Bei, Fred

(Visited 37 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us