ASSAs

TANZANIA YAIFUMUA MADAGASCAR, YAONGOZA KUNDI

105
0
Share:

Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ impepata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Madagascar, mabao ya Stars yamefungwa na Erasto Nyoni, Novatus na Fei Toto, yale ya wageni yamefungwa na Njiva na Fontaine.

Ulikuwa mchezo wa kuwania Kufuzu Kombe la Dunia Ukanda wa Afrika katika Kundi J.

Tanzania inaongoza msimamo wa Kundi J kwa kuwa na pointi nne na wastani mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa.

Kundi J
1. Tanzania 4
2. Benin 4
3. DR Congo 2
4. Madagascar 0

(Visited 67 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us