ASSAs

SIMBA HATIHATI KUWA KOSA MAZEMBE SIMBA DAY

201
0
Share:

Ikiwa ni siku chache tu tangu klabu ya Simba, itangaze kuwa katika kilele cha Simba day September 19,2021 itacheza mchezo wa kirafiki na miamba ya soka barani Africa, Klabu ya Tp Mazembe,

Shirikisho la soka nchini la DR Congo limetoa ratiba ya ligi kuu nchini humo ya msimu wa 2021/22 ambayo inaonesha tarehe 19 September Tp Mazembe watakuwa na mechi dhidi ya SM Sanga belenge jambo lililoibua wasiwasi wa miamba hiyo kusafiri kuja nchini kwaajili ya kushiriki tamasha hilo.

(Visited 142 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us