ASSAs

SIMBA YAWEKA WAZI KIKOSI CHA TP MAZEMBE KWA AJILI YA SIMBA DAY

416
0
Share:

Timu ya soka ya Simba leo kupitia ukurasa wao rasmi wa instagram wamwtoa orodha ya wachezaji wa kikosi cha timu ya Tp Mazembe kitakachosafiri kuja Tanzania kucheza nao katika tamasha la Simba day siku ya jumapili tarehe 19 mwezi huu

Simba ambao bado wamejichimbia huko jijini Arusha wakiendelea kujifua kujianda na michuano mbalimbali ikiweo ligi kuu,ligi ya mabigwa na kombe la ligi

Aidha Simba leo watashuka dimbani kucheza na Aigel Noir kucheza mchezo wa kirafiki ukiwa nimuendelezo wa kujiandaa na michuano mbalimbali

(Visited 324 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us