ASSAs

RAIS SAMIA SULUHU AFANYA UTEUZI MPYA

59
0
Share:

Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo(NDC), Kayandabila ni Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Rais Samia amemteua pia Dkt.Naomi Katunzi kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Baraza la TEWW.

(Visited 27 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us