ASSAs

RUGEMALILA AACHIWA HURU

374
0
Share:

Leo septemba 16 Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu imemuachia huru Mkurungunzi mkuu na mmliki mwenza wa kampuni ya IPTL JAMES RUGEMALILA aliyekua akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.

Hii imekuja baada ya mwendesha mashtaka mkuu wa serikali DPP kuifuta kesi hiyo akisema serikali haina nia yakuendelea na kesi hiyo,Mashtaka ya uhujumu uchumi yaliyokua yakimkabili Rugemalila yameondolewa chini ya kifungu namba 91 cha kwanza cha mwemendo wa makosa ya jinai

Rugemalila na mwenzake Seth walikua wakikabiliwa na mashtaka 12 ikiwemo ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha na kuisabibishia serikali hasara ya takribani bilioni 358

(Visited 131 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us