ASSAs

ASKARI WALIOMUUA HAMZA WAPEWA ZAWADI

224
0
Share:

By Elisafi Fadhili

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kupitia kwa Kamanda Muliro Jumanne muda huu anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Askari waliomuua Hamza.

“Askari hawa Waliopambana na Hamza miongoni mwao walikuwa ni Askari 11, ambao kwa mamlaka za kisheria za uendeshaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP amewapa zawadi ya vyeti vya ujasiri na zawadi ya pesa kwa kadri alivyoona inafaa”– Jumanne Muliro

(Visited 185 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us