ASSAs

KESI YA SABAYA YAPIGWA KALENDA

36
0
Share:

Hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili Sylvester Nyegu na Daniel Mbura imeahirishwa hadi October 15 kwakuwa haijakamilika, amesema Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa Amalia Moshi.

(Visited 15 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us