ASSAs

KAKA WA DIAMOND ANAVYOKUJA KWA KASI KWENYE MICHEZO

58
0
Share:

Na Deusdedith Innocent

Awali alijulikana tu kama Kaka yake Damond Platnumz na mtu wa karibu wa WCB Wasafi.

Lakini kwa sasa jina Ricardo Momo ni miongoni mwa majina makubwa katika utoaji na uchambuizi wa habari za michezo ndani na nje ya Tanzania na ukurasa wake wa Instagram tayari una wafuasi zaidi ya milioni moja na ni kwa muda chini ya mwaka mmoja tu.

Style yake ya kutoa habari ni kama umbea lakini katika michezo ambapo habari zake za Ndani Kabisa kutoka katika klabu za ligi zote za Tanzania kwa sasa zinaaminika, ukimpa mtu habari akakuuliza umeitoa wapi, ukimtaja Ricardo Momo basi hatii shaka.

Na sasa ni mfanyakazi wa Wasafi TV katika kipindi cha michezo cha Sports Arena akiwa na kipengele chake cha Mzee wa kudere au #ZaNdaniKabisa.

What a dramatic change!

(Visited 47 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us