ASSAs

KESI YA MEMBE NA MUSIBA YAUNGURUMA

34
0
Share:

Mahakama Kuu ya Tanzania leo ilitarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya Bernard Membe dhidi ya Cyprian Musiba.

Membe amemshtaki Musiba ambaye ni mmiliki wa Gazeti la Tanzanite na wachapishaji wa Gazeti hilo, ambapo anadai fidia ya Tsh bilioni 10 kwa madai kuwa gazeti hilo lilimchafua.

Aidha, Hukumu ya kesi hiyo ya madai ya kashfa iliyofunguliwa na Bernard Membe dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba imepigwa kalenda hadi Oktoba 28, 2021.

(Visited 18 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us