ASSAs

SUPERMAN MPYA KUWA MA MAPENZI YA JINSIA MOJA

29
0
Share:

DC Comics imetangaza kuwa mhusika mpya wa Superman, Jon Kent, anahusika katika mapenzi ya jinsia moja.


Katika kitabu chake kijacho cha katuni , ambacho kinatarajiwa kuzinduliwa mwezi Novemba, Jon atapewa taswira ya kuwa mpenzi wa jinsia moja akiwa na rafiki yake Jay Nakamura.


DC Comics imetoa tangazo hilo katika siku ya kitaifa ya uhamasishaji juu ya uelewa kuhusu wapenzi wa jinsia moja nchini Marekani.


Sasa Kwa sababu watoto wetu wanapenda kutazama vipindi vya katuni kutoka ughaibuni
1.) Unalizungumziaje hili
2.) Utawaruhusu watoto wako kuitazama ?

(Visited 17 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us