ASSAs

WASHINDI TUZO ZA TFF

114
0
Share:

Tuzo za TFF za (VPL) msimu wa 2020/21.

Mfungaji bora kombe la Shirikisho (ASFC)- Reliants Lusajo (Namungo).

Mfungaji bora Ligi ya Wanawake – Aisha Masaka (Yanga).

Mfungaji bora Ligi Kuu Bara – John Bocco (Simba).

Timu yenye nidhamu katika ligi ya Wanawake- Ruvuma Queens.

Timu yenye nidhamu katika Ligi Kuu Bara – Coastal Union (Tanga).

Meneja bora wa Uwanja – John Nzwalla (Nelson Mandela Rukwa)

Kamishna bora – Pili Mlima (Arusha).

Mwamuzi bora msaidizi kwa wanawake – Sikuzani Nkurungwa (Njombe).

Mwamuzi bora kwa Wanawake- Amina Kyando (Morogoro).

Mwamuzi bora msaidizi ligi Kuu soka Tanzania Bara- Frank Komba.

Kocha bora kwa wanawake ni -Edna Lema (Yanga Princes).

Kocha bora ligi kuu bara – Didier Gomes (Simba).

Mhamasishaji bora – Bongozozo. (Hana timu)

Mchezaji bora chipukizi Wanawake- Asha Juma (Alliance)

Mchezaji bora chipukizi Ligi Kuu Bara – Abdul Suleiman (Coastal Union).

Kipa bora Azam Sports FC – Aishi Manula (Simba).

Kipa bora kwa Wanawake – Janeth Shija (Simba Queens).

Kipa bora wa Ligi Kuu Bara – Aishi Manula (Simba).

Beki bora wa Ligi Kuu Bara – Mohammed Hussein (Simba).

Kiungo bora wa Ligi Kuu Bara – Clatous Chama (Simba).

Kikosi Bora

 1. Aishi Manula
  2.Shomari Kapombe
  3.Mohamed Hussein
  4.Joash Onyango
  5.Dickson Job
  6.Mukoko Tonombe
  7.Clatous Chama
  8.Feisal Salum
  9.John Bocco
  10.Prince Dube
  11.Luis Miquesson

Instagram @lemutuz_tv @lemutuz_superbrand

(Visited 32 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us