ASSAs

MAKOCHA WOTE WATATU SIMBA KUTIMULIWA

1089
0
Share:

Tetesi: inasemekana viongozi wa klabu ya Simba wamekubaliana kuachana na Makocha wote watatu wa klabu hiyo, Gomez, Matola na Hitimana.

Hali hii inakuja baada ya Simba kupokea kichapo cha mabao matatu kwa moja tena katika uwanja wa Mkapa Dar es Salaam kutoka klabu ya Jwaneng Galaxy ya Botswana na kutupwa nje ya mashindano ya klabu bingwa Afrika.

Viongozi wengi wa Simba wamelalamikia usaliti baada ya kipigo hicho licha ya kutokuweka wazi nani msaliti wa klabu hiyo kwa sasa.

(Visited 363 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us