ASSAs

HUYU NDIYE JAJI MPYA KESI YA MBOWE

223
0
Share:

#LemutuzUpdates

Joachim Tiganga ndiye Jaji mpya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomhusisha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu.

Kesi hiyo inaendelea tena leo Jumanne Oktoba 26, 2021 baada ya kusimama kwa siku saba, tangu Oktoba 20, huku Jaji Kiongozi Mustapha Siyani aliyekuwa akiisikiliza alipojitoa kutokana na kuongezewa majukumu.

(Visited 64 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us