ASSAs

SIMBA MIKONONI MWA POLISI KESHO

221
0
Share:

Klabu ya Simba baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani na kuondolewa katika michuano ya klabu bingwa Afrika na Jwaneng Galaxy, kesho wanakutana na polisi Tanzania kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara.

Polisi Tanzania moto wao kwenye ligi sio wa kawaida, kwa sasa wanaongoza ligi wakiwa na pointi tisa sawa na Yanga, wakiwa wameshinda mechi zote tatu.

Simba wanashika namba tisa kwenye msimamo wakiwa na pointi nne. wamecheza mechi mbili, wakishinda moja na kutoa sare moja

Mechi itachezwa Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam, saa moja usiku.

(Visited 56 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us