ASSAs

MATOKEO DARASA LA SABA 2021

1642
0
Share:

Baraza la Mitihani la Taifa Tanzania NECTA leo Jumamosi, Oktoba 30, 2021 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2021 (Matokeo ya Darasa la Saba mwaka 2021).

Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Charles Msonde, amesema kuwa mkoa wa Dar es Salaam umefanya vizuri zaidi katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba kwa mwaka 2021, ikifuatiwa na Iringa na Mbeya.

BONYEZA HAPA KUONA MATOKEO

(Visited 826 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us