ASSAs

AFANYIWA UPASUA WA KINYAMA NA NESI AMBAYE NI MPENZI WAKE WA ZAMANI

152
0
Share:

Kenya: Mwanaume Evans Mutugi aliwasilisha kesi mahakamani Jumatatu tarehe 8 Novemba dhidi ya kituo cha matibabu cha Maura huko Nairobi kwa madai ya kufanyiwa upasuaji wa kinyama na aliyedaiwa kuwa mpenzi wake wa zamani Rose Kagwira ambaye ni mmoja wa wauguzi wanaofanya kazi katika hospitali hiyo.

Bwana Mutugi alieleza kuwa alikimbizwa katika kituo hicho kwa matibabu ya dharura baada ya ajali ya pikipiki mnamo Jumamosi tarehe 6 mchana. Ni wakati huo ambapo aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Rose Kagwira alimhudumia.

Sasa Bwana Mutugi anadai fidia ya Ksh Milioni 6.4 sawa na Tsh Milioni 136.

(Visited 53 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us