ASSAs

RAYVANNY AWEKA REKODI MPYA AFRIKA

107
0
Share:

Msanii wa muziki nchini, Rayvanny kutokea lebo ya WCB Wasafi ameweka rekodi nyingine kubwa ya kuwa Msanii wa kwanza kutokea Afrika na akitokea hapa kwetu Tanzania kutumbuiza katika jukwaa la utoaji tuzo za MTVEMA 2021 Budapest, nchini Hungary.

Rayvanny alishaweka rekodi nyingine kubwa ya kuwa Msanii wa kwanza kutokea Tanzania kushinda Tuzo ya BET nchini Marekani.

Wasanii wengi wameungana kumpongeza Rayvanny wakitumia kurasa zao za mitandao ya kijamii kutoa pongezi hizo kama Prof Jay, Maua Sama, Zuchu, Diamond, Gigy Money, Gnako, Mamy Baby, Shetta, Joh Makini

(Visited 20 times, 2 visits today)
Share this post

Contact Us