ASSAs

LIGI KUU TANZANIA LEO

102
0
Share:

Kocha mpya wa Simba Pablo Franco akichekelea kuanza ligi leo.

Baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa kufuzu kombe la Dunia, sasa leo ligi kuu Tanzania Bara NBC Premier League inaendelea.

Saa nane, Tanzania Prisons dhidi ya Mbeya Kwanza, Uwanja wa Nelson Mandela – Rukwa

Saa kumi, Polisi Tanzania dhidi ya Coastal Unioni, Uwanja wa Ushirika – Kilimanjaro

Saa kumi, Ruvu Shooting dhidi ya Simba, Uwanja wa CCM Kirumba – Mwanza.

(Visited 32 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us