ASSAs

AMKATA KORODANI MUMEWE KISA HAJAWAJI KUMRIDHISHA KITANDANI

101
0
Share:

Mwanamke Karambu Meme (umri kati ya miaka 40) anadaiwa kumshambulia na kumkata korodani Mumewe Meme Kabati (umri mika 56) kwa madai kuwa hajawahi kumridhisha wanapokuwa katika tendo la ndoa.

Mwanamume huyo anauguza majeraha hayo mabaya katika hospitali ya Nyambene kaunti ya Meru baada ya tukio hilo kumkuta nyumbani kwao katika kijiji cha Akolone.

Akithibitisha tukio hilo, Chifu Msaidizi wa eneo la Ntunene Edward Mutalii alisema kuwa baada ya kupokea habari hizo za kutatanisha, alienda haraka eneo la tukio na kukuta sehemu ya korodani ya muathiriwa ikiwa chini.

Mwanamke huyo yuko rumande akisubiri kufikishwa mahakamani.

@lemutuz_tv @lemutuz_superbrand

(Visited 29 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us