ASSAs

KENYA: BILA KUCHANJA HUPATI HUDUMA ZA SERIKALI

47
0
Share:

Serikali ya Kenya imetangaza wananchi ambao watakuwa hawajapata chanjo ya Corona hawataruhusiwa kupata huduma katika ofisi zao kuanzia Desemba 21, 2021, miongoni mwa huduma hizo ni pamoja na usafiri wa umma, ndege na treni.

Waziri wa Afya nchini humo, Mutahi Kagwe amesema watu watapaswa kuonyesha uthibitisho wa kupatiwa chanjo ili kutembelea taasisi za serikali za elimu, uhamiaji, kodi na huduma nyingine.

Instagram @lemutuz_tv @lemutuz_superbrand

(Visited 10 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us