ASSAs

MORRISON ASHINDA KESI DHIDI YA YANGA

102
0
Share:

Kesi ya rufaa ya Klabu ya Yanga dhidi ya Mchezaji Bernard Morrison iliyokuwa ikiendelea katika Mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) imefutwa huku ushindi ukienda kwa Morrison.

Yanga walikata rufaa wakidai kuwa Mchezaji huyo alikuwa na mkataba nao wakati anasaini mkataba mwingine kunako klabu ya Simba.

Hivyo Yanga inatakiwa kumlipa Morrison gharama za uendeshaji wa kesi hiyo kiasi cha Tsh milioni 12.

@lemutuz_tv @lemutuz_superbrand

(Visited 26 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us