ASSAs

HAMISA MOBETO PENZINI NA RICK ROSS

853
0
Share:

Sio siri tena, Mwanamitindo na Msanii kutoka Tanzania Hamisa Mobeto yuko kwenye penzi jipya la moto na Msanii kutoka nchini Marekani Rick Ross.

Usiku wa jana wawili hao walinaswa wakila bata la nguvu nchini Dubai.

Hamisa ni Mzazi mwenza na Msanii Diamond Platnumz, pia inatajwa alikuwa Mchumba wa tajiri Fred Vunjabei, bila kumsahau Tajiri Majizzo ambaye naye ni mzazi mwenza.

Awali, mahusiano ya Mobeto na Rick Ross yalitajwa kuwa ni kwa ajili ya kutengeneza wimbo au mambo ya kibiashara lakini yamezidi huko hadi kwenye penzi moto moto.

(Visited 89 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us