HABARI KUBWA MAGAZETI YA LEO MAY 14, 2022
Simorix The General au Jenerali @simorixthegeneral ndo jina la Mtanzania mwenye makazi yake nchini Australia lilioongelewa zaidi nchini Kenya leo na kushika trending namba 1 na 3 kwenye twitter kutokana…
Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini DPP, amemfutia mashtaka yote ya Uhujumu Uchumi na Ugaidi Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya…
Mataifa 141 yamepiga kura kuunga mkono azimio la kuitaka Urusi kusimamisha mara moja mashambulizi nchini Ukraine na kuyaondoa majeshi yake yote. Mataifa matano tu ndiyo yameunga mkono Urusi ambayo ni…
Sasa kupatikana kwenye kifurushi cha chini cha DStvSerikali, Wasanii watoa neno Chaneli maarufu ya Maisha magic Movies imetangaza neema kwa wazalishaji wa filamu hapa nchini baada ya kuongeza idadi ya…
NA. Abel Paul wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP JUSTINE MASEJO amesema tarehe Tarehe 01.03.2022 muda wa 06:30 mchana huko maeneo ya…
Mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ameelezea kuunga mkono uvamizi wa Urusi nchini Ukraine uliofanywa na Rais Putin. Jenerali Kainerugaba ambaye ni kamanda wa majeshi…
Kampuni ya simu za mkononi ya itel imeachia smartphone mpya inayotoka kwenye kizazi cha “A” Series ambayo ni A58. Taarifa rasmi iliyotoka ndani ya kampuni hiyo ni kwamba simu hiyo…
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake cha Februari 14 na 15, 2022 ilisikiliza mashauri mawili dhidi ya wanafamilia wa mpira wa miguu,…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Mhandisi Hamad Masauni amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro hasa katika kipindi hiki ambacho ni Mwenyekiti wa Tume ya…
Kutoka katika kiwanda cha Bongo Flavour hit maker wa ngoma ya Tunapiga bao Simorix the General ameachia ngoma kali inayokwenda Kwa jina la Vaccine. General amesema ametoa nyimbo hiyo maalum…
Kocha wa Kikosi cha Simba, Pablo Franco Martín amesema kuwa Katika mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) dhidi ya ASEC Mimosas 🇨🇮 watawakosa nyota wao watano kutokana…
Taarifa kutoka TFF. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litafanya Semina ya siku tatu kwa Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC kuanzia Februari 15, 2022. Huu ni utaratibu wa…
Leo tarehe 7 Februari 2022, Uongozi wa kampuni ya GSM unatangaza rasmi kujiond kwenye nafasi ya kuwa Mdhamini mwenza wa Ligu Kuu ya NBC yaani NBC Pren League. Sababu kubwa…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa viongozi wafuatao kuanzia leo tarehe 03 Februari, 2022: Ndugu Omar Ali Omar - Mkurugenzi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bi Zuhura Yunus Abdallah kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais - Ikulu. Kabla ya uteuzi huo, Bi Zuhura…
Waziri wa Habari Nape Nnauye leo ametangaza rasmi kurejea kwa chaneli za TV za bure kwenye king’amuzi cha DStv ambazo ni ITV, EATV, CloudsTV,, Channel ten, Star TV na chaneli…
Kocha wa Simba Pablo Franco amefungiwa mechi tatu na kupigwa faini jumla milioni 3.5 kutokana na makosa kadhaa. Amefungiwa michezo mitatu (3) nakutozwa faini ya Tsh 500,000 (laki tano) kwa…