-
NAHODHA WA TIMU YA TAIFA YA UGANDA DENNIS ONYANGO ATANGAZA KUSTAAFU
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Uganda The Cranes Dennis Onyango ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka Timu ya Taifa ya ... -
TAKRIBANI WATU 34 WAFA MAJI DJIBOUT
Takribani watu 34 wamekufa maji baada ya boti kupinduka katika pwani ya nchini Djibouti, Shirika la Uhamiaji duniani (IOM ) ... -
FAILI LA BOSI TPA LAKAMILIKA, LASUBIRI CAG
Taasisi ya Kuzuia na Kupamabana na Rushwa (Takukuru) imesema imekamilisha faili la uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa ... -
HII HAPA RATIBA YA MECHI ZA KOMBE ZA SHIRIKISHO HATUA YA 16 BORA
Rhino Rangers vs Arusha FC. 29/04/2021 Biashara United vs Ruvu Shooting. Azam FC vs Polisi Tanzania. 30/04/2021 Mwadui FC vs ... -
WILLIAM NA HARRY KUKUTANA KATIKA MAZISHI YA BABU YAO
Watawala wa Cambridge na Sussex wametoa salamu za rambi rambi kwa babu yao, mtawala wa Edinburgh aliyefariki dunia siku ya ... -
JAPAN YAIDHINISHA KUACHILIWA KWA MAJI MACHAFU NDANI YA BAHARI
Japan imeidhinisha mpango wa kuachilia zaidi ya tani milioni moja za maji machafu kutoka katika kiwanda kilichoharibiwa cha nyuklia cha ... -
MISRI WADAI MAMILIONI YA DOLA KWA MMILIKI WA MELI ILIOZIBA MFEREJI WAKE MUHIMU SUEZ
Meli ya kubeba mizigo ya urefu wa takriban mita 400 kwa jina Ever Given ilikwama kimshazari katika mfereji wa Suez ... -
MWANAMFALME HARRY ATAHUDHURIA VIPI MAZISHI YA BABU YAKE
Mtawala wa Sussex, Mwanamfalme Harry atarejea Uingereza kwa mara ya kwanza wiki hii kuhudhuria mazishi ya Babu yake katika Kanisa ... -
BEIJING SASA NI MAKAO YA MABILIONEA WENGI KULIKO MIJI MINGINE
Beijing sasa ni makao ya mabilionea wengi zaidi kuliko miji mingine yoyote duniani, kwa mujibu wa orodha ya hivi punde ... -
RAIS SAMIA SULUHU AMEAGIZA ZIFUNGULIWE TELEVISHENI ZA MTANDAONI TU
Waziri wa habari nchini Tanzania Innocent Bashungwa na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa wametoa ufafanuzi kuwa agizo ... -
MWENYEKITI WA UVCCM: HATUONI AIBU KUOMBA MSAMAHA PALE TULIPOKOSEA
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa (UVCCM) Kheri James amesema UVCCM haioni tabu kuomba radhi kwa yeyote iwapo kuna ... -
SAFARI YA MWISHO YA HAYATI JOHN MAGUFULI AZIKWA CHATO
Ni safari ya mwisho ya Hayati Rais John Pombe Magufuli , amelazwa katika nyumba yake ya milele, ni huzuni na ... -
SITAYASAHAU ALIYOYAFANYA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI
Kifo cha Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania kilipokelewa kwa mshutuko sana na watu wengi ndani na nje ya Tanzania ... -
GENERALI MABEYO: JESHI LITAKUTII
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu ... -
ZITTO ATOA WARAKA WAKUMUAGA RAIS MAGUFULI
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo ametoa waraka wake wa kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ... -
WACHIMBAJI TANZANIA WATAKIWA KUSIMAMA WALIPO DAKIKA TANO WAKATI HAYATI MAGUFULI AKIZIKWA
Wachimbaji madini nchini wote kwa umoja wao kesho Ijumaa Machi 26 wakati jeneza lenye mwili wa Rais wa awamu ya ... -
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZA IBADA MAALUM YA MAZISHI YA HAYATI JPM KATIKA UWANJA WA ...
Kutoka Chato mkoani Geita kwenye ibada maalum ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe ... -
RAIS MAGUFULI KUZIKWA SAA 9:00 MCHANA KESHO
Mwili wa Hayati Rais Dk Jonh Pombe Magufuli utazikwa kesho kuanzia saa 9:00 Alasiri wilayani Chato mkoani Geita, ambapo familia, ...