-
YANGA WAJA NA MBINU MPYA
Yanga imeamua kuja na mbinu mbadala kuhakikisha wanarudi kwa nguvu kwenye mstari wa ubingwa na kuachana na harufu ya kupoteza ... -
HATIMAYE MIAMBA MINNE YA NDONDI KUINGIA VITANI
Mashabiki wa ndondi nchini wanahesabu saa kuwashuhudia miamba ya ulingo, Twaha ‘Kiduku’ Kassim, Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ Francis Miyeyusho na ... -
WAZIRI BASHUNGWA MGENI RASMI KILI MARATHON 2021
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mbio za mwaka huu za Kilimanjaro ... -
HILI HAPA KUNDI LA SERENGETI BOYS KWENYE AFCON U-17
Timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana wasiozidi umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imepangwa kundi moja na timu za ... -
TETESI ZA SOKA ULAYA LEO TAREHE 25/2/2021
Manchester City inafikiria kutoa zaidi ya £100m kuwanunua mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland, 20, na kiungo wa kati wa ... -
PITSO: HALI YA HEWA NDIO ILITUPONZA
Baada ya jana Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Ahly kwenye mchezo wa hatua ya makundi ... -
HATIMAYE FRANK LAMPARD ATIMULIWA CHELSEA
Chelsea imemfuta kazi kocha wake Frank Lampard baada ya kuingoza klabu hiyo kwa miezi 18. Lampard, 42, ambaye ni kuingo ... -
PRINCE DUBE AVUNJIKA MKONO, MATIBABU AFRIKA KUSINI
Mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube, ambaye aliumia kwenye mchezo dhidi ya YangaSC jana Novemba 25, anatarajiwa kwenda Afrika Kusini ... -
MO DEWJI AELEZA UKWELI WA BILLIONI 20 KWA WABUNGE
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji amewatoa hofu wanachama na mashabiki juu uwekezaji wake wa ... -
SAMATTA KUIKOSA TUNISIA
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea club ya Fenerbahce ya Uturuki Mbwana Samatta sasa atakuwa nje ... -
UONGOZI WA SIMBA WATOA TAMKO KUHUSU CHAMA KUTIMKIA YANGA
Uongozi wa Simba umesema kuwa kwa sasa nyota wao Clatous Chama ataendelea kuwa ndani ya kikosi hicho kwa kuwa ni ... -
KAULI YA BOCCO BAADA YA KIPIGO CHA JANA
Nahodha wa klabu ya Simba, John Bocco amewaomba radhi viongozi na wanachama wa mabingwa hao wa ligi kuu Tanzania bara ... -
ERICK NAMPESYA, ANAYO FANYIWA MORRISON SIO SAHIHI
Mdau wa soka nchini Tanzania Erick David Nampesya amejitokeza hadharani na kuonesha namna alivyoguswa na tukio la kiungo mshambuliaji wa ... -
MANARA AWAAFARIJI SIMBA SC
Mkuu wa idara ya habari na mawasilino ya Simba SC Haji Manara, ameandika ujumbe wa kuwafariji mashabiki na wanachama wa ... -
SIMBA SC YATOA TAMKO BAADA YA KUCHEZEA VICHAPO VIWILI MFULULIZO
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck ambaye ni raia wa Ubelgiji akisaidiana na ... -
KOCHA WA AZAM FC ATOA NENO KABLA HAWAJAWAVAA MTIBWA SUGAR
Kabla ya kuwakabili Mtibwa Sugar leo jioni, Kocha Mkuu wa Azam FC Aristica Cioaba, ametamba kupitia rekodi yake ya kushinda ... -
SIMBA SC WAAHIDI USHINDI
Mabingwa watetezi Tanzania Bara Simba SC wameahidi ushindi kwa mashabiki na wanachama wao dhidi ya Ruvu Shooting, katika mchezo utakaochezwa ... -
TSHISHIMBI ASAINI MKATABA NA CLUB YA AS VITA YA CONGO DR
Kiungo na nahodha wa zamani wa Yanga Papy Kabamba Tshishimbi raia wa Congo DR amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumia ... -
MBEYA CITY YASITISHA MKATABA WAKE NA KOCHA AMRY SAID
Klabu ya Mbeya City imetangaza kusitisha rasmi mkataba wa kazi na mwalimu Amry Said Juma kama kocha mkuu wa timu ...