-
SIMBA YAMUIBUA NAPE
Mbunge wa Mtama na Waziri wa zamani wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ameshindwa kuficha hisia zake juu ... -
MWENYEKITI WA YANGA AWAJIA JUU MASHABIKI
Mwenyekiti wa Matawi ya Yanga huko Zanzibar, Ally Makolo amewalaani baadhi ya wanachama wa timu hiyo wanaokataa klabu yao kufanya ... -
MTIBWA WAISHIA NJIANI, WAIACHIA SIMBA SAFARI
Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar imeshindwa kusonga mbele katika michuano ya shirikisho barani Afrika baada ya kukubali kichapo kutoka ... -
SERGIO RAMOS AMKINGIA KIFUA MOURINHO
Nahodha wa Real Madrid, SergioRamos amesema kuwa kila mmoja angependa kuwa na kocha kama Jose Mourinho ndani ya timu yake ... -
HUYU NDIYE MCHEZAJI ANAYELIPWA MKWANJA WA AJABU DUNIANI.
Chama cha Soka Duniani Fifa kimethibitisha kuwa watu Billioni Moja waliangalia Mechi za Finali la Kombe la Dunia Mwaka 2018, ... -
RATIBA YA LIGUU KUU SIMBA YABADILISHWA
Bodi ya Ligi (TPLB) kupitia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba vs ... -
TFF YAJA NA MPANGO MPYA DHIDI YA U 17
Shirikisho la soka nchini (TFF), limeweka wazi kuwa linakuja na mpango wa kutengeneza mkakati wa kusaidia vipaji vya vijana wa ... -
RAMADHANI KABWILI ALAZWA
Golikipa wa Yanga Ramadhani Kabwili, amelazwa katika hospitali ya Selian jijini Arusha akifanyiwa vipimo zaidi kufuatia maumivu ya nyonga aliyopata ... -
‘MLIZALIWA WASHINDI’ DKT. MENGI
Mlezi wa timu ya taifa ya soka ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya ... -
RAIS MAGUFULI AWAKUBALI U 17
Baada ya kilio cha muda mrefu cha Rais John Magufuli juu ya timu za Tanzania kutochukua ubingwa katika michuano mbalimbali ... -
MSIBA WAMCHOMOA TSHISHIMBI KWENYE KIKOSI
Akiwa kwenye msafara wa timu uliokwenda Arusha, kiungo mkabaji wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi ameondolewa dakika za mwisho baada ya ... -
NKANA WAAHIDI KUWASHA MOTO J,PILI DAR
Nkana walitua Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jana huku Kocha wao, Beston Chambeshi akitamba kucheza pata potea kwa ... -
MBIVU NA MBICHI U 17 KUJULIKANA LEO
Droo ya upangaji wa makundi ya michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 (AFCON) inatarajiwa kupangwa ... -
WANAOPINGA UCHAGUZI YANGA MATATANI 8 WATAJWA
Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwanyembe amepeleka majina nane ya wanachama wa klabu ya Yanga kwenye ... -
MTIBWA SUGAR KUFATA NYAYO ZA AZAM
Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar imetangaza nia yake ya kujenga uwanja wa kisasa na mkubwa wa soka, ambao utakuwa ... -
SOLSKJAER KURITHI MIKOBA YA MOURINHO
Mpaka sasa bado hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kama raia huyo wa Norway atachukua mikoba ya Jose Mourinho ambaye alifutwa kazi ... -
SIMBA WAJIPANGA KUING’OA NKANA
Klabu ya soka ya Simba kupitia kwa Afisa Habari wa klabu hiyo, Haji Manara imetaja sharti muhimu linalohitajika ili kufanikisha ... -
MANCHESTER UNITED YAMTIMUA MOURINHO
Kocha Jose Mourinho amefutwa kazi na Manchester United ikiwa ni siku moja tu imepita tangu afungwe mabao 3-1 na Liverpool. ... -
SERENGWTI BOYS KUSHIRIKI UEFA
Shirikisho la Soka Tanzania TFF limetangaza kuwa Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania U17 “Serengeti Boys” itashiriki kwenye mashindano ...