-
R. KELLY ‘ASHAMBULIWA’ GEREZANI, AELEZA WAKILI WAKE
Wakili wa R. Kelly ameomba mteja wake achiliwe huru mara moja baada ya kusemekana kwamba ameshambuliwa na mfungwa mwenzake. Steve ... -
HONG KONG: CHINA YAWAKAMATA WATU 10 BAADA YA KULIZUIA BOTI LILILOKUWA LIKITOROKA HONG KONG
Mamlaka nchini China imewakamata takriban watu 10 baada ya kuzuia boti inayoaminika ilikuwa inaelekea Taiwan kutoka Hong Kong kulingana na ... -
YASER ABDEL SAID: MWANAUME ALIEKUWA AKISAKWA SANA NA FBI AKAMATWA
Dereva wa taxi ambaye amekuwa akitafutwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya binti zake wawili amekamatwa baada ya kwenda ... -
TAJI LA KIFALME LA MSANII NOTORIOUS B.I.G. NA BARUA ZA MAPENZI ZA TUPAC SHAKUR KUUZWA ...
Vazi lenye historia katika muziki wa hip-hop linapigwa mnada – taji hilo la kifalme lilivaliwa na msanii nyota Notorious B.I.G. ... -
WANAFUNZI 350 WA SHULE YA SEKONDARI MARUMBA WILAYANI TUNDURU HAWAJULIKANI WALIPO
Wanafunzi 350 wa Shule ya Sekondari ya Marumba katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma ambao walipaswa kuwepo shuleni hapo hawajulikani ... -
VIFO VILIVYOSABABISHWA NA MVUA KALI ZINAZONYESHA MKOANI TANGA VYAFIKIA 14
Hadi sasa Watu 14 wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia mvua kali zinazoendelea kunyesha mkoani Tanga, Katika wilaya ya Handeni na maeneo ... -
NAIBU WAZIRI WAITARA “Hakuna sheria ya Mwenyekiti kuomba hela ya Mhuri”
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mwita Waitara, amesema kuwa hakuna Sheria inayompa mamlaka ... -
KAMPUNI YA UDA-RT YATANGAZA KUSITISHA HUDUMA YA USAFIRI
Kampuni ya UDA-RT inautaarifu umma kuwa huduma za mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, imesitisha huduma zake kati ya ... -
LUGOLA ATAJA SIFA YA MTU KUSAJILI KADI ZA SIMU YA MKONONI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema watanzania milioni 16 ambao wana namba za vitambulisho vya NIDA ... -
Mtuhumiwa wa mauaji ya Nipsey adai kulipwa pesa kufanya tukio hilo
Inaelezwa kuwa baadhi ya mitandao na watu kadhaa nchini Marekani wametoa taarifa kuwa mtuhumiwa wa kwanza wa mauaji ya Nipsey Hussle, Eric ... -
DUDUBAYA AIOMBA MSAMAHA FAMILIA YA RUGE NA WATANZANIA
Msanii wa Bongo Fleva, Dudu Baya ameomba radhi kwa familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds media Ruge ... -
TANZANIA YASHIKA NAFASI YA 10 AFRIKA KAMA NCHI YENYE AMANI
Taswira ya Tanzania kimataifa imeendelea kupaa baada ya Taasisi ya Global Peace Index (GPI) kuitangaza Tanzania kushika nafasi ya 51 ... -
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA WA ...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa (kulia) wakimsikiliza, Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji na ... -
SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA MKOA WA DODOMA
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge alipomtembelea leo tarehe 19 ... -
LUGHA YAKIFARANSA YASHIKA NAFASI YA 2 KIMATAIFA
Imetambulika kuwa Lugha ya Kifaransa ni lugha rasmi katika majimbo 32 huku ikitumiwa zaidi na mashirika ya kimataifa kama UN,NATO, ... -
RAIS KAGAME WA RWANDA AWASILI NCHINI NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame mara ... -
SABABU ZA KIUSALAMA,ZASABABISHA TAMASHA LA KIUTAMADUI SINGAPORE KUZUILIWA
Tamasha la Bandari lenye mwonekano wa kiutamaduni wa kiswidi nchini Singapore maarufu kama Chuma cheusi (Black metal) lililotakiwa kufanyika leo ...