-
MAKAMANDA WA POLISI WATAKIWA KUJA NA MBINU ZA KISASA ZA KUKABILIANA NA UHALIFU
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo pamoja na Makamanda wa Polisi pamoja na Kamati ya Usalama Mkoa wakifurahia Wimbo ... -
“MUNGU NI ZAIDI IKULU” RC MAKONDA
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amepokea Msaada wa Shilingi 120 milioni kutoka kwa wadau mbalimbali. Akizungumza ... -
NDEGE ILIYOKAMATWA CANADA YAANZA SAFARI KUJA TANZANIA
Ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400, inatarajiwa kuwasili nchini Disemba 14, 2019, na itapokelewa jijini Mwanza. Jana Disemba 13, ... -
UCHAMBUZI:SABABU ZA ARSENAL KUFUNGWA ,MAKOCHA WAO HAWAHUSIKI
Klabu ya Arsenal imeendelea kuwa na wakati mgumu msimu muu baada ya kulazimisha sare ya mabao 2-2 dhidi ya Standard ... -
IFAHAMU REKODI YA MSHAMBULIAJI MPYA WA YANGA ALIYETOKEA MISRI
Zikiwa zimesalia siku tatu ili dirisha dogo la usajili liweze kufunguliwa Klabu ya Yanga imeshaanza kukusanya wachezaji watakaotumika raundi ya ... -
KOCHA MPYA SIMBA SC AAHIDI KUIPA MAKUBWA
KOCHA mpya wa Simba SC, Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck ameahidi kuipa klabu hiyo mafanikio makubwa kisoka kwa kushinda nyumbani na ... -
YANGA YASAJILI MSHAMBULIAJI MPYA, TFF YAMUAMURU DANTE KUREJEA KAZINI JANGWANI
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Tanzania, Tariq Seif Kiakala amewasili nchini kutoka Misri alipokuwa anacheza soka ya kulipwa kwa ajili ya kukamilisha ... -
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) TAIFA DKT. JOHN ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa na Makamu Mwenyekiti ... -
BODI AMBAZO HAZITAWASILISHA GAWIO IFIKAPO JANUARI 23 ZITAKUWA ZIMEVUNJWA
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akipokea hundi ya kiasi cha Sh. Milioni 200, kutoka ... -
WADAU WATAKIWA KUTOA MCHANGO UTAKAOBORESHA UTENDAJI KAZI NA KULETA TIJA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na wadau ... -
ESMA PLATNUMZ Afichua Siri ya NDOA YA QUEEN DARLEEN/Niliambiwa nisiseme/DIAMOND ndiyo sababu.
@Diamond Platnumz @Queen Official @QueenDarleen -
SERIKALI KUANDAA MPANGO WA UTOAJI HUDUMA KWA WATU WENYE ULEMAVU
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Masuala ya Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa (wa pili kutoka kulia) akizungumza ... -
SERIKALI YAAGIZA HOSPITALI ZOTE NCHINI KUANZISHA MFUKO WA FEDHA ZA DAWA.
Picha ya pamoja ikiongozwa na Waziri wa Afya Mhe.@umwalimu, akiwa na wajumbe wa Bodi mpya ya ushauri ya Hospitali ya ... -
WAKALA WA MISITU YAZINDUA KAMPENI YA KI-NATURE KWA KISHINDO
Watanzania wameombwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika kampeni maalum ya kutangaza utalii nchini lengo likiwa ni kukuza uchumi wa nchi ...