Msanii maarufu nchini Ben Pol akiwa na babe wake mpya ambaye ni raia wa Kenya, siku hizi Ben anaonekana matawi ya juu tu na mwanadada huyo anayesemekana kuwa na Pesa yaani “Mzigo” wa ajabu.

(Visited 263 times, 2 visits today)
Share this post