ASSAs

SHAFFIH DAUDA AFUNGIWA MIAKA 5 KUTOJIUSISHA NA SOKA

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake cha Februari 14 na 15, 2022 ilisikiliza mashauri mawili dhidi ya wanafamilia wa mpira wa miguu,…

Read More

WAZIRI MASAUNI AMUAGIZA IGP SIRRO KUWAIBUA ASKARI WANAOFANYA MATENDO KINYUME NA MAADILI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Mhandisi Hamad Masauni amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro hasa katika kipindi hiki ambacho ni Mwenyekiti wa Tume ya…

Read More

SIMORIX THE GENERAL ATOA ZAWADI YA VACCINE KWA MASHABIKI ZAKE

Kutoka katika kiwanda cha Bongo Flavour hit maker wa ngoma ya Tunapiga bao Simorix the General ameachia ngoma kali inayokwenda Kwa jina la Vaccine. General amesema ametoa nyimbo hiyo maalum…

Read More

SIMBA KUWAKOSA NYOTA WATANO MECHI YA KIMATAIFA

Kocha wa Kikosi cha Simba, Pablo Franco Martín amesema kuwa Katika mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) dhidi ya ASEC Mimosas 🇨🇮 watawakosa nyota wao watano kutokana…

Read More

TFF YAWAITA WAAMUZI SEMINA SIKU TATU

Taarifa kutoka TFF. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litafanya Semina ya siku tatu kwa Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC kuanzia Februari 15, 2022. Huu ni utaratibu wa…

Read More

GSM YAJIONDOA UDHAMINI WENZA LIGI KUU

Leo tarehe 7 Februari 2022, Uongozi wa kampuni ya GSM unatangaza rasmi kujiond kwenye nafasi ya kuwa Mdhamini mwenza wa Ligu Kuu ya NBC yaani NBC Pren League. Sababu kubwa…

Read More