ASSAs

Kumekucha CCM Kirumba Mwanza, Diamond Asusia Sound check awatanguliza Rayvanny, Mbosso na Lava Lava

Wasafi wamejipanga kusawazisha makosa ya Sumbawanga cheki Stage lilivyoundwa CCM Kirumba Mwanza Diamond awatanguliza Rayvan Mbosso na Lavalava

Read More

Zahera amtimua Benno mazoezini,amwambia asirudi tena Yanga.

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amemfukuza mlinda mlango Benno Kakolanya na kushindwa kufanyanae kazi tena kwakua sio mzalendo kwenye timu Zahera ameyasema hayo jana wakati Beno akirejea kambini kwa mara…

Read More

Siri imefichuka Zitto Kabwe mambo hadharani, ACT hakutoshi.

Wanachama wa ACT wazalendo wameamua kurejesha kadi za uwanachama na kuhamia CCM kwa madai ya kutokumuelewa kiongozi wao ZITTO kabwe wakidae amekuwa akiihujumu nchi. Wanachama hao wamefika mbali na kudai…

Read More

Rc makonda aja na mpango mpya kuwanusuru wakazi wa Dar

Mkuu wa mkoa Paul Makonda amezindua kampeni ya utoaji wa kinga ya minyoo,mabusha,matende na minyoo Makonda amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi ili kujiepusha na magonjwa halo

Read More

JPM afutilia mbali barua ya Kutaka mabadiliko ya Bendera na wimbo wa Taifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefuta maelekezo ya barua iliyoandikwa na wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Barua hiyo inakichwa cha habari kinachosema 'MATUMIZI…

Read More